Ile mechi kali ya wakali wa shule ya sekondari ENGUTOTO yaani kidato cha Tano na kile cha Sita inatarajia kupigwa leo shuleni Engutoto
Mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani wa hali ya juu unatarajia kuanza majira ya saa kumi na nusu jioni ambapo wadau mbali mbali wa soka shuleni hapa wanawapa kidato cha tano nafasi ya kushinda
akizungumza mbele ya waandishi wa blog hii mwalimu wa michezo shuleni hapa Richard Ngoda alisema ''kidato cha tano wanaonekana kuimarika sana kuliko kidato cha sita na hivyo nawapa nafasi ya kushinda tena kwa kishindo'' aidha kwa upande wao wachezaji kidato cha sita wamekiri kuwa na hofu sana na mechi hii tofauti kabisa na wenzao kidato cha tano
habari na mwandishi wetu Pasco Nkololo & Malogi Kusekwa
ENGUTOTO HIGH SCHOOL P.O.BOX 143,Monduli,Arusha Tel; +255 754 205 853, +255 754 859 146 EDUCATION FOR WISDOM
Friday, 14 November 2014
Friday, 7 November 2014
MITIHANI YAKARIBIA SHULENI ENGUTOTO HUKU MAANDILIZI YAKIZIDI KUPAMBA MOTO
Mitihani ya kufunga shule imekaribia kuanza shuleni ENGUTOTO huku maandalizi yakionekana kuzidi kupamba moto shuleni hapa
wanafunzi wa vidato vyote wameonekana wakiwa bize na maandalizi hayo huku kukishuhudia utulivyo wa hali ya juu kabisa shuleni hapa mwandri nau haba wa masomo mbali mbali shuleni hapa wamedai wanategemea ufaulu wa hali ya juu kabisa kama ilivyo desturi ya ENGUTOTO
wanafunzi wa vidato vyote wameonekana wakiwa bize na maandalizi hayo huku kukishuhudia utulivyo wa hali ya juu kabisa shuleni hapa mwandri nau haba wa masomo mbali mbali shuleni hapa wamedai wanategemea ufaulu wa hali ya juu kabisa kama ilivyo desturi ya ENGUTOTO
picha & habari na Amma Taka (mwandishi wetu}
UTUNZAJI WA MAZINGIRA SHULENI ENGUTOTO
Wanafunzi wa shule yA sekondari ENGUTOTO katika moja ya shughuli za uhifadhi mazingira hapa
picha na mwandishi wetu Pasco Nkololo
Subscribe to:
Posts (Atom)