Friday, 7 November 2014

MITIHANI YAKARIBIA SHULENI ENGUTOTO HUKU MAANDILIZI YAKIZIDI KUPAMBA MOTO

Mitihani ya kufunga shule imekaribia kuanza shuleni ENGUTOTO huku maandalizi yakionekana kuzidi kupamba moto shuleni hapa
wanafunzi wa vidato vyote wameonekana wakiwa bize na maandalizi hayo huku kukishuhudia utulivyo wa hali ya juu kabisa shuleni hapa mwandri nau haba wa masomo mbali mbali shuleni hapa wamedai wanategemea ufaulu wa hali ya juu kabisa kama ilivyo desturi ya ENGUTOTO
 wanafunzi wa kidato cha kwanza katika maandalizi ya mitihani hiyo
 kidato cha tatu nao hawako mbali na maandalizi

picha & habari na Amma Taka (mwandishi wetu}

No comments:

Post a Comment