Engutoto secondary ni shule inayopatikana katika mkoa wa arusha ,wilaya ya monduli
shule hii inafahamika kote Tanzania kutokana na historia nzuri iliyonayo
shule hii ni ya kutwa na bweni na ya mchanganyiko wavulana na wasichana Mwalimu mkuu wa shule hii anaitwa LOMAYANI SAILEPU akisaidiana na makamu mkuu wa shule hii bw WILLIAM WALTER shule ina wanafunzi wa O-LEVEL na wale wa A-LEVEL kwa michepuo ya HKL,HGL,na HGK kwa kifupi ni kwamba shule imekua na mfululizo wa matokeo mazuri kwa mitihani ya taifa kwa miaka mingi mfululizo na hivyo kuzidi kuwa chachu ya maendeleo katika mkoa wa arusha na taifa kwa ujumla
Habari na mwandishi Pasco Nkololo
No comments:
Post a Comment