Ratiba ya mtihani kwa vidato vya tano,tatu,na kile cha kwanza imetolewa rasmi na ofisi ya taaluma shule ya sekondari ENGUTOTO.
Mitihani inategemea kuanza rasmi tarehe 17/11/2014 kwa vidato tajwa.Pia unategemea kumalizika tarehe 22/11/2014 ambayo ni tarehe rasmi kwa kidato cha sita kuanza mtihani wao wa Mock.
Mwalimu mkuu wa taaluma shuleni hapa bw.Nathanael Mungule alisema ofisi ya taaluma na shule nzima kwa ujumla wanategemea ufaulu wa hali ya juu katika mitihani hiyo kama ilivyo desturi ya ENGUTOTO SECONDARY
''all we need is you to have aattractive and best perfomance as ussual'' alisema
na kwa upande wao wanafunzi wa kidato cha tano shuleni hapa wameahidi kufanya vema ktk mitihani hiyo
No comments:
Post a Comment